Namna ya kuficha faili (folder) kwenye computer yako
kwenye darasa la leo nitafundisha namna ya kuficha folder kwenye komputer yako na mtu asilione kiraisi
kiraisi fwatana nami kwenye darasa la leo.
(1)Atua ya kwanza bonyeza upande wa kulia(right clik) kwenye folider na bonyeza
properties.
(2)Bonyeza neno Customize Option.
(3)Bonyeza neno Change Icon.
(4)Vuta kwelekea upande wa kulia tafuta Icon ambayo ahionekani (invisible Icon)
(5)Bonyeza OK
(6)kazi kwisha. enjoy !!!!!!!!!!
Kama Umepata tatizo lolote tafadhali nitumie E-mail na comment Hapo chini.